Kreuzweg - fertiggestellt 2005

Übersetzung Sr. Cecilia Msaki


Jesus is condemmned to death
Yesu anahukumiwa afe
Jesus takes His Cross
Yesu anapokea Msalaba
Jesus falls the first time
Yesu anaanguka mara ya kwanza
Jesus meets His Mother
Yesu anakutana na Mama yake
Simon of Cyrine helps Jesus
Simoni wa Kirene anampokelea Yesu akichukua Msalaba pamoja naye

Veronica wipes Jesus's face
Veronika anapangusa uso wa Yesu
Jesus falls the second time
Yesu anaanguka mara ya pili
Jesus consoles the women
Yesu anawatuliza wanawake wanaomlilia
Jesus falls the third time
Yesu anaanguka mara ya tatu
Jesus is stripped of his Garments
Yesu anavuliwa nguo

Jesus is nailed to the Cross
Yesu anafungwa juu ya msalaba
Jesus dies on the Cross
Yesu ana kufa msalabani
Jesus is taken from the Cross
Yesu anashushwa msalabani
Jesus is laid in the Tomb
Yesu anazikwa kaburini
Jesus is risen from the dead
Yesu amefufuka